Watu wote someni hii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu wote someni hii

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by 3D., Oct 31, 2010.

 1. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wakuu, kumekuwa na posts nyingi kuhusu mwenendo wa Upigaji kura. Hii inasababisha tunashindwa kufuatilia matukio vizuri. MODS wamesaidia kidogo katika hili. Ukiingia katika Forum ya UCHAGUZI TANZANIA 2010 iliyopo front page ya JF, ndani yake kwa juu kuna Sub-Forum mbili. Moja ni kwa ajili ya Matukio yanayoendelea katika vituo vya Upigaji kura na Nyingine ni kwa ajili ya matokeo ya kura zenyewe. Naomba tutumie hizo Sub-Forums ili kusaidia posts zote ziwe sehemu moja. MODS wangeweza wangeweka hizi "Sub-Forums" front page, huku watu hawazioni.
   
Loading...