Watu Weusi: Viongozi wa "unnecessary spending"

Unalalama tu hapa... hao whites unajua jinsi wanavyo spend pesa zao lakini?
 
Mtu mweusi atakutesa sana kiakili usipokuwa makini[emoji3]
Yani extro, mtu mweusi ni waajabu sana, chukulia mfano hapa bongo watu waliowahi kupata pesa kama vijana mambo waliyoyafanya na waliiishia wapi,

Ferouz
Mr nice
Mwisho wa big brother
Nature

Angalia wakina konde na mondi mambo wanayoyafanya yakijinga kweli wakiwa wa vipesa alafu angalia kundi kubwa la vijana wanavyowashabikia na kushobokea.

Wengine hapa wanasema eti maisha ya mtu ayanihusu...aah wapi ni foolishness kwa maana tumeona hizi spending decisions zilivypharibu maisha ya watu.
 
Hakuna mtu alielalamika, na nimesema hata whites kuna wanaspend ila sio kwa asilimia kubwa kama ilivyo kwa mwafrika.
Unajua historia ya namna Blac were impoverished and killed for hundreds of years kabla hujaendelea kuaminishwa na liberals hicho unachoamini sasa.
Completely made poor by design.. wewe unaleta mchezo
 
Sorry nakupinga , hawa watu ni very economy hatari ukiona ana travel alishatenga fungu mda kwa ufupi wanafanya kile kilichopo kwenye schedule wachache wao ndo wanakurupuka
Sasa kama ndo hvyo basi ulaya kusingekua na omba omba,na serikal zao zsongekua znatoa misada kila mwsho wa mwezi kwa raia wake..
 
Tafuta pesa ndugu acha kulaumy watu wanaotumia pesa zao!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…