Kwa mujibu wa wakuu wa Mtandao wa Kijamii wa Twitter wamesema, Katy Perry anaongoza kwa kuwa na wafuasi wengi ambao ni 78.3 milioni, akifuatiwa na Justin Bieber - 70.5 milioni.
Wengine ni pamoja na Taylor Swift ambaye anawafuasi 66.7 milioni huku Rais Barack Obama wa Marekani akiwa na wafuasi 66.5 milioni na Mwanamuziki Rihanna ambaye anawafuasi 53.1 milioni.