Watu wenye mambo na hoja za kitoto waanzishiwe jukwaa lao maana wananyanyasika sana.

banned do

JF-Expert Member
Apr 27, 2017
574
506
Mf Nenda kalale,kanyonye mara anaulizwa"shule inafunguliwa lini?Mara likizo inatujazia seva,Kalale ukue.Balehe inakusumbua,Mwingine akichangia utasikia"Bado tu upo kwa shemeji?Yaani hawa watu wananyanyasika ni bora seva ingewakataa wakati wanajisajili humu jf.Hata mtoto ana haki yake bhanaaaaaaaa...
 
Attachments

  • img_BT1kL4RD3Nw.jpeg
    img_BT1kL4RD3Nw.jpeg
    41.5 KB · Views: 46

Back
Top Bottom