Watu wenye iPhone wanafaidi sana

Nilichokigundua kwako umeanza kutumia tecno then ukahamia iphone.

Bado huna elimu ya kutosha.
 
Duuuh Samsung amzidi iPhone kweli?

Nijuavyo Samsung ni techno aliyechangamka
mzee nawewe unatia aibu,yaani inaonekana baada ya kuachana na tecno ukanunua iphone.

hakuna simu tofauti na hizo umewahi kutumia,
kwa mtu anayejua simu hawezi iponda pixel kwamba ina mpinzani,
wala hawezi iponda samsung kwamba ni kama tecno tu,wewe useme umeachana na spark 2 lini[emoji16][emoji16],usitupotezee muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…