Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,620
Braza, labda hawaweki simu za wachawi..!!
Hii uongo bana.
Apple wanafurahia nini sasa wakati maumivu yaanza kuanzia bei, halafu convenience ya kutumia IPhone sio kama Android, inashughulisha.
Mie ninayo latest model kabisa lakini mostly natumia SAMSUNG yangu kwa wepesi.
Tecno ni ya kwanza ukigeuza ubao juu chini, chini juu.๐ช๐ฎ๐๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ต๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ผ
View attachment 2749844
Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.
Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.
View attachment 2749845
Ripoti kamili [emoji116]
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno
Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?
#bongotech255 #91mobile
๐ช๐ฎ๐๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ต๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ผ

Wtu wake hawana [emoji2][emoji2] furaha nazoKuna simu sijaziona hapo kabisa...kama Huawei...
Nothing jina la kampuni ya nothing technology company ni kampuni ya ki British nafikir waingereza watengenezaji wa vifaa vya kieletroniki Kwenye jiji la London. Iligunduliwa na Carl Pie alikua co founder wa simu za OnePlus toka china [emoji6][emoji108] kwa ufupiNo 2 ni brand inaitwa "nothing"?
Kitendo cha kuihusisha Tecno kama vile nayo ni simu kinafanya hii ripoti kuwa feeeki.๐ช๐ฎ๐๐ ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ต๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ถ๐บ๐ ๐๐ฎ๐ผ
View attachment 2749844
Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.
Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.
View attachment 2749845
Ripoti kamili [emoji116]
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno
Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?
#bongotech255 #91mobile
Sema hizi nyingi ya zinazouzwa Bongo ni Used na Refurbished. Kupata mpya ni kwa mbinde sana..Na hizo used sasa tegemea siku yoyote ile simu kuzima bila taarifa.Simu niliyowahi tumia nikaifurahia Sana ni Google pixel
Ooh kumbe wanaweka za wahuni tuu [emoji1545]Braza, labda hawaweki simu za wachawi..!!