๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2020
Posts
1,221
Reaction score
2,425
๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ

View attachment 2749844

Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.

Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.

IMG_20230914_094732_646.jpg

Ripoti kamili
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno

Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?

#bongotech255 #91mobile
 
Hii uongo bana.
Apple wanafurahia nini sasa wakati maumivu yaanza kuanzia bei, halafu convenience ya kutumia IPhone sio kama Android, inashughulisha.
Mie ninayo latest model kabisa lakini mostly natumia SAMSUNG yangu kwa wepesi.

Tukubaliane si wote wanawaza price. Apple ile cycle laptop-whatch-iphone

Halaf wenyewe hawa produce midrange, always enterprise edition.
Lakin pia kwenye Os kuna vingi vya kufanya

Inategemea umenunua kwa kazi gani
 
๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ

View attachment 2749844

Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.

Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.

View attachment 2749845

Ripoti kamili
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno

Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?

#bongotech255 #91mobile
Tecno ni ya kwanza ukigeuza ubao juu chini, chini juu.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ

View attachment 2749844

Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.

Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.

View attachment 2749845

Ripoti kamili
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno

Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?

#bongotech255 #91mobile

No 2 ni brand inaitwa "nothing"?
 
Kuna simu sijaziona hapo kabisa...kama Huawei...
 
No 2 ni brand inaitwa "nothing"?
Nothing jina la kampuni ya nothing technology company ni kampuni ya ki British nafikir waingereza watengenezaji wa vifaa vya kieletroniki Kwenye jiji la London. Iligunduliwa na Carl Pie alikua co founder wa simu za OnePlus toka china kwa ufupi
 
๐—ช๐—ฎ๐˜๐˜‚ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ณ๐˜‚๐—ฟ๐—ฎ๐—ต๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐˜€๐—ถ๐—บ๐˜‚ ๐˜‡๐—ฎ๐—ผ

View attachment 2749844

Kupitia mtandao wa 91mobile umetoa orodha ya watu mbalimbali ambao Wana furaha na vifaa vyao wanavyovimiliki kwa mwaka 2023.

Kupitia swali walilouliza Je una furaha na simu uliyonayo watu mbalimbali waliweza kutoa maoni juu ya vifaa wanavyovimiliki lakini kampuni ya apple kupitia iphone imeshika nafasi ya kwanza simu inayoongozwq kwa kupendwq.

View attachment 2749845

Ripoti kamili
1. Iphone
2. Nothing
3. OnePlus
4. IQ00
5. Motorola
6. Infinix
7. Samsung
8. Vivo
9. Oppo
10. Poco
11. RealMe
12. Xiaomi pamoja na
13. Tecno

Ebu tuambie unaipenda simu yako ? Je simu Yako namba ngapi hapo ? Tuachie maoni Yako ?

#bongotech255 #91mobile
Kitendo cha kuihusisha Tecno kama vile nayo ni simu kinafanya hii ripoti kuwa feeeki.
 
Simu niliyowahi tumia nikaifurahia Sana ni Google pixel
Sema hizi nyingi ya zinazouzwa Bongo ni Used na Refurbished. Kupata mpya ni kwa mbinde sana..Na hizo used sasa tegemea siku yoyote ile simu kuzima bila taarifa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom