Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

Sasa maudhui yako hii umetoa kwenye kitabu gani? Au ulioteshwa na ww unataka ujiite mtume?

Nijiite mtume kwani mm wakala wa lucifer? Mimi nimeweka hapo mada soma ukielewa sawa usipo elewa achana nayo.
 
Kwahiyo huyo Lucifer (shetani) unamwamini yupo na ni hao hao waliokuletea Mungu wa uwongo ndiyo uliowaamini kuhusu Lucifer lakini Mungu huamini yupo? Kweli duniani hapajawahi kuishiwa vituko

Mimi simwamini lucifer mkuu. Ni kiumbe dhaifu sana. Kwanini wanadamu mmedanganywa na neno kuamini? Unadhani imani uliyo nayo itakufikisha popote? Chochote kile kinachojiita mungu sio mungu. Mungu hana advertisement wala wapambe. Mungu ni utulivu….
 
Binafsi siwezi kuamini maneno yako ila nakusitikia me ntaendelea kumuamini Mungu wangu kupitia maandiko matakatifu kwenye biblia na Nimeshamuona Mungu akinifanikisha na kunitendea Mambo makuu so kila mtu abaki na imani yake tusipotoshane.

Hata mimi binafsi siwezi kumwabudu mungu wenu wala mtu yoyote yule. Hakuna kiumbe au mungu anayetakiwa kuabudiwa. Na pia hakuna maandiko matakatifu kwa taarifa yako. Hayo maandiko ni watu wamekaa chini pale nicea wakakuletea kitabu cha kukufunga.
 
Nijiite mtume kwani mm wakala wa lucifer? Mimi nimeweka hapo mada soma ukielewa sawa usipo elewa achana nayo.
Usipanic! Toa source ya fikra zako hizi, vinginevyo km binadamu huwezi kuwa na fikra sahihi wakati wote. Vinginevyo labda uwe mtume
 
Mungu gani ana convice watu kuwa yupo hai.? Kwani mungu anakufaga?
Kwani ana convince watu??. MUNGU haconvice watu kuwa yupo hai bali Watu wanakuwa convinced na matendo makuu ya MUNGU na kuona kuwa kupitia hayo matendo makuu kuwa MUNGU yu hai siku zote.Yeye yupo ambaye yupo,ni wa milele yote.
 
Wa ukweli yupo ndani yako na wa uwongo yupo nje yako. Wa uongo hupigiwa kampeni kila mahali wa ukweli yupo kimya tuu anasubiri umjue akufunguliea njia….
Hii ni kwa mujibu wa andiko lipi??,Au ni kwa mujibu wa wewe mwenyewe??.
 
Kwani ana convince watu??. MUNGU haconvice watu kuwa yupo hai bali Watu wanakuwa convinced na matendo makuu ya MUNGU na kuona kuwa kupitia hayo matendo makuu kuwa MUNGU yu hai siku zote.Yeye yupo ambaye yupo,ni wa milele yote.

Shetani nae ni mungu pia na yupo hai na anapiga story na mungu wenu swali langu ni moja kwanini mungu wenu nyie anapenda sifa na kutukuzwa na pia kwanini mungu wenu nyie ni mungu mwenye wivu? Huoni hizo sifa ni za shetani mungu wa uongo?
 
Usipanic! Toa source ya fikra zako hizi, vinginevyo km binadamu huwezi kuwa na fikra sahihi wakati wote. Vinginevyo labda uwe mtume

Haha sijapanic mkuu wangu soma
Kwanza the holy tablets na tibetan book of the dead alafu rudi kwangu.
 
Shetani nae ni mungu pia na yupo hai na anapiga story na mungu wenu swali langu ni moja kwanini mungu wenu nyie anapenda sifa na kutukuzwa na pia kwanini mungu wenu nyie ni mungu mwenye wivu? Huoni hizo sifa ni za shetani mungu wa uongo?
Hiyo ni kwa mujibu wa wewe.Lkn Majibu mazuri utayapata tu, Jitahidi ufe mapema ili huyo unayemhoji hivyo ukutane nae live akujibu.
 
Mkuu katika hiki kipande...Je unazungumziaje wizi, ukahaba,usinzi,ushoga na usagaji? Kutokana na utashi wako, sababu hivo vinafanyika na umesema ambavyo havitakiwi kufanywa na binadamu Mungu amevizuia tayari

Asante
 
Back
Top Bottom