Asalaleeeeeeeeeeeeee! wana MMU
Iko hivi kwa asilimia kubwa wanawake wengi hujikuta wamenasa mikononi mwa wale wasio wapenda kabisa lakin hulazimishwa na mazingira kama vile umri na vingine vingi ikiwamo kupoza maumivu ya mitima yao, lakini pia kwa wanaume hujikuta wanaoa pale ambapo hawakupenda basi tu kwa kua ni muda umefika inabidi mtu aweke kitu ndani,, sasa ndoa za namna hii ndo baada ya muda hugeuka ndoano fujo na vurumai zisizokwisha na michepuko ya kila namna ili tu mtu apate faraja japo kidogo, hvo mjitahidi wenzi wenu wawe wale muwapendao kutoka mioyoni mwenu ili ndoa zenu ziwe imara kiaina. Karibuni kwa mawazo , Asalaleeeeeeeeeeeeeeee!!