Watu wengi huolewa au huoa pia watu wasio machaguo yao kutoka mioyoni

Arovera

JF-Expert Member
Nov 19, 2013
10,928
28,364
Asalaleeeeeeeeeeeeee! wana MMU
Iko hivi kwa asilimia kubwa wanawake wengi hujikuta wamenasa mikononi mwa wale wasio wapenda kabisa lakin hulazimishwa na mazingira kama vile umri na vingine vingi ikiwamo kupoza maumivu ya mitima yao, lakini pia kwa wanaume hujikuta wanaoa pale ambapo hawakupenda basi tu kwa kua ni muda umefika inabidi mtu aweke kitu ndani,, sasa ndoa za namna hii ndo baada ya muda hugeuka ndoano fujo na vurumai zisizokwisha na michepuko ya kila namna ili tu mtu apate faraja japo kidogo, hvo mjitahidi wenzi wenu wawe wale muwapendao kutoka mioyoni mwenu ili ndoa zenu ziwe imara kiaina. Karibuni kwa mawazo , Asalaleeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Si unajua mambo ya romeo n juliet ni movie tu,real thing ndo hvo,umri utakaekukuta nae unaoa/unaolewa,si kwamba unampenda sanaaa
 
Kwa wanaume ukipendwa sana na mtoto wa kike unahisi atampenda kila mtu hali kadhalika jamaa linakua linakupenda lakin bdo unazingua mwisho ni maigizo ndani ya ndoa na michepuko kibao

Jitu likijua unalipenda kweli linazinguaaa.
 
Mapenzi ni sawa na nyavu za kuvulia samaki hukokota aina za kila mdudu hvo ni jukum lako kuangalia samaki ni yupi?

Si unajua mambo ya romeo n juliet ni movie tu,real thing ndo hvo,umri utakaekukuta nae unaoa/unaolewa,si kwamba unampenda sanaaa
 
Kwa wanaume ukipendwa sana na mtoto wa kike unahisi atampenda kila mtu hali kadhalika jamaa linakua linakupenda lakin bdo unazingua mwisho ni maigizo ndani ya ndoa na michepuko kibao

Ndo hivyo tunakuwa na ndoa za bora liende, mateso matupu.

Lakini mbona zamani Wazee walichaguliwa wachumba na ndoa zilidumu?
Sisi tunakosea wapi?
 
Wanawake tunakubali mwanaume eti kisa kakutongoza..hehee ukiingia kwenye ndoa ndo unaona kasoro mia kidogo..
 
Hapa nimecheka sana kwenye kasoro mia na kidogo huku haukuchunguza ni hatari sana hii kitu ndo maana wengine wajanja huzungusha kimtindo wake huku wakipima kina cha maji

Iko hivi kwa kiasi mwanamke anahitaji kufundishwa vitu na mwanaume ikiwa ni pamoja na kubembelezwa na kufarijiwa sasa issue iko hapa wanaume pia husahau jukum hilo ambalo tunalifanya cku za kwanza tu za kutongoza baada ya hapo baaaaaasi.
 
Umeonaee..ila sikufichi mara nyingi kasoro ni mtu mwenyewe..yaani ukianza kumchoka hata zisizo kasoro unaziona kasoro tu..
Hapa nimecheka sana kwenye kasoro mia na kidogo huku haukuchunguza ni hatari sana hii kitu ndo maana wengine wajanja huzungusha kimtindo wake huku wakipima kina cha maji
 
Kumbuka hua kasoro zinarekebishika, sasa ndoa au mapenzi yakishakosa heshima dhidi yenu ni taabu sana kwan mtatumia ubabe kuishi na mtaishia kua na ndoa ya kudra za mungu.

Umeonaee..ila sikufichi mara nyingi kasoro ni mtu mwenyewe..yaani ukianza kumchoka hata zisizo kasoro unaziona kasoro tu..
 
Back
Top Bottom