Watu wengi hawajui tofauti ya Android na IOS

Watu wengi hawajui tofauti ya Android na IOS

KINAMBUA MDONKOLO

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2018
Posts
1,181
Reaction score
1,694
Guys acha niweke kitu sawa kidogo.. Hakunaga simu inatwa android na wala hakunaga smu inaitwa ios.. kama unabisha wee bisha tuu.. Android ni system ambayo wote wanaotengeneza device zao huziweka mule na kuadd user i terface zao ili wasifanane na wengine na ndio maana leo hii [emoji116].

Samsung devices haziwez fanana na Xiaomi japokuwa zote ni android .. wanachukua Operating system ya Android wanaweka na User interface zao ambazo zinarun together na android na pia android ndio unakuwa mfumo endeshi mama.. Sasa iOs wao kila ktu wanafanya wao na pia [emoji116].

Niliskia mpka kurun apps wao ndio wanaruhusu zirun na ndio maana ikitokea app inaonekana inahatar kwa matumiz ya mteja wao wanakuwa wakali na kuzizuia zirun. Sasa android market sharing yake ni kubwa kuliko ios hii inatokana na kwamba android ina madevelopers wengi[emoji116].

Pia ni open source unaweza iingia na kufanya lolote lingne kwa watumiaji wengi ipo simple to use kuliko iphone kufungua apple id tu kipengele chake kikubwa bado zile apps ambazo nyngi zipo kwenye android katka app store hakuna .. na pia uzur wa android ni kwamba Kama app ni [emoji116].

Ya kulipia Wapo wazee wakucrack na ukapata moded na ukaitumia hata hzi vpn unapata ambazo zipo registrated kabsaa.. kwahyo android na ios wanachotofautiana kikubwa sana ni kwamba Android ni Open source na iOs ni Close source system.

20210428_084503.jpg
 
Hyo sio maana ya open source mkuu. Open source ina maanisha kuwa code ya software ipo available publicly kwa yoyote kuangalia na kumodify hyo code anavyotaka.

Android ambayo ni open source ni Android Open Source Project (ASOP). Hii ndio stock Android inayo kuwa maintained na Google.

Samsung na wengine wanachukua hyo code na ku modify kuwa UI zao. OneUI ya Samsung sio open source (kuna vipande vichache tu ambavyo ni open source), MIUI ya Xiaomi sio open source, n.k.

Code ya AOSP unaweza iangalia hapa: source.android.com

Open source haimainishi kuwa ipo open kwa user. Mbona kuna part za ios ni open source pia
 
Ukiachana na Opened and Closed. Je Nokia zile microsoft zenyewe mfumo wao vipi?
 
Iv sisi wa ios ndio simu zetu zikijisikia zinaandika app close pale unapokua unatumia hyo app
 
Pia ni open source unaweza iingia na kufanya lolote lingne kwa watumiaji wengi ipo simple to use

hii siyo maana ya 'open source', jibu umepewa murua kweli kwenye comment #6
 
Back
Top Bottom