Watu wawili Mkoani Simiyu wafariki kwa Kipindupindu

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Watu wawili wafariki kwa kipindupindu Mkoani Simiyu.

Mkuu wa Mkoa akiongea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya wagonjwa, amesema ataongea na Wizara ya Afya ili kuongezewa madawa na kutoa maagizo usafi uzingatiwe sehemu ambayo wagonjwa wanatoka.
 
Back
Top Bottom