Mr Putin
JF-Expert Member
- Feb 13, 2019
- 517
- 524
Huyu wananchi wakamkamata akiwamafichoni chooni!Hakuna cha watu vibaka tu,wachimba mihogo. Yan wanaua watu alfu na ku chukua ndoo ya mandazi aiseee! Eti nao jeshi. Aya jeshi Hilo hapo chini!
Kiongozi wao Kakesha kwenye maombi siku 3 then mungu kamwambia eti nenda muchukue nchi, aiseee! Unaua wa mama, wa toto ,unaiba ndoo ya mandazi na pipi dukani then uchukua nchi?