Dig the EA
JF-Expert Member
- Dec 7, 2017
- 287
- 279
Watu wenye silaha wametekeleza mauaji ya watu 11 usiku wa kuamkia leo kaskazini mwa Rwanda.
Tukio la mauaji hayo lilitokea mida ya saa tatu usiku katika tarafa za Kinigi na Musanze wilayani Musanze jimbo la Kaskazini mwa Rwanda.
Jimbo hilo ni miongoni mwa majimbo nchini humo yanayoongoza kwa vitendo vya uvunjifu wa amani.