Watu wasiozeeka

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Upande wa kushoto John Dupp alikuwa ana miaka 39 upande wa kulia akiwa na miaka 52.

How cool is it!!?

 
That is very cool kwa wanao elewa maana yake!
 
Wengine tunazeeshwa na mamichepuko...
 
Sio lazima kuwa na mchepuko km unakuzeesha
 
Mambo ya kisu hayo kaka, watu wenye hela zao wanapunguza sana nyama za uso na mwili zilizozidi...
 
Hapo tofauti si miaka 13 tu? Tumsubirie agonge 91 kama comrade Mugabe!
 
Mi nikiangalia pua, Midomo, komwe, naona ni watu wawilu tofauti!
 
Mambo ya kisu hayo kaka, watu wenye hela zao wanapunguza sana nyama za uso na mwili zilizozidi...

Nahisi nitakukatalia kwenye hili.

Denzel Washngton
Gabriel Union

Hawa nao wanatumia kisu?
 
Reactions: BAK
Nahisi nitakukatalia kwenye hili.

Denzel Washngton
Gabriel Union

Hawa nao wanatumia kisu?

Weka picha zao za 'before and after'...

Na kwa case ya Gabriella tafuta picha ambayo hayupo kwenye vipodozi...
 
Kweli kabisa white pple always crack fast. Hizo ni bottox wanafanya na plastic surgery ndo maana wanaonekana vijana.
 
Pharrell Williams, Jenifer Lopez, LL cool J
 
Na huyo Tom cruse Ana miaka mingapi,niliona sehem wanajadili kua jamaa hazeekiii,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…