[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wafupi wana ongoza kwa kugongwa na magari maana una weza zani jani lime pita kumbe mtu[emoji41]
Wafupi hasira na kupenda ugomvi ovyo[/QUOT
Haaaa unasemajeee, kati ya watu wastarabu sie tunaongoza
Ila msiwe mnavaa nguo nyekundu maana tunashindwa kuwatofautisha na mtungi wa Oryx gas au fire extinguisher...Wafupi tunajua thamani ya mwanamke halafu hatuwadharau
Hahahaha basi tutavaa nguo nyeupeIla msiwe mnavaa nguo nyekundu maana tunashindwa kuwatofautisha na mtungi wa Oryx gas au fire extinguisher...
Hapo afadhali. Juzi nilimwona mwenzio kwenye bodaboda... dreva alilazimika kumfunga kwa mpira maana miguu ilikuwa inaning'inia...Hahahaha basi tutavaa nguo nyeupe
Hapo afadhali. Juzi nilimwona mwenzio kwenye bodaboda... dreva alilazimika kumfunga kwa mpira maana miguu ilikuwa inaning'inia...
Hahahahaa... dahHuyo atakuwa kama chupa ya banana
Tatzo sio kuonewa, yani mnaingilia vitu ambavyo haviwahusu huku hamjui chanzo ilimradi yu muonekane kuwa n watetezi.Sasa mkuu, nani anapenda kuonewa mimi ukinionea nalianzisha
Wewe utakuwa mfupi tuHoja ya kibwege sana hii