A man of God
Member
- Sep 5, 2015
- 65
- 14
Kuna jamaa anaongea hapa ITV na anadai kuwa kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel kwa kuangusha mlima wa Babeli ndivyo chama tawala kinavyoangusha vyama vya upinzani.
Anaitetea tume kuwa ni chombo cha haki. Alianza kumkemea Lowassa kwa ubaya wake! Lakini presenter kampa mfano kutoka kwenye Bible kuwa kuna watu waliokuwa wabaya lakini walibadilika na leo tunasoma vitabu vyao!
Jamaa amejibu kisanii kwa kudai kuwa kuna tofauti kati ya historia na imani! Haaaaaaaaa! Hana lolote huyu