P PAUL KAJIWE Member Joined Apr 26, 2012 Posts 8 Reaction score 3 Jul 11, 2012 #1 Jamaa mmoja akizungumza na mwenzake mazungumzo yalikua ivi MWENZAKE bana mimi nataka kununua tv JAMAA acha ufujaji wa pesa tv yanini wakati hata siku moja hutokuja kuonekana kazi kuwaona wengine.MWENZA duu uh hii kali
Jamaa mmoja akizungumza na mwenzake mazungumzo yalikua ivi MWENZAKE bana mimi nataka kununua tv JAMAA acha ufujaji wa pesa tv yanini wakati hata siku moja hutokuja kuonekana kazi kuwaona wengine.MWENZA duu uh hii kali
I issabela Senior Member Joined Jun 27, 2012 Posts 148 Reaction score 17 Jul 11, 2012 #2 yee si anajijua kwanin ajione tena kwenye tv hahaha
KML JF-Expert Member Joined Apr 2, 2012 Posts 861 Reaction score 134 Jul 11, 2012 #3 hahahahah kidogoooo