Ichwampaka
Senior Member
- Nov 19, 2018
- 145
- 118
Moja Ya Sifa Za Kiongozi Bora Ni Kutoingiza Hisia Binafsi Za Kibinadamu Katika Utendaji Wake Na Maamuzi Kama Kiongozi.
Kama Kiongozi Anaamua Kwa Makusudi Kutokukubali Kufanyia Kazi Mambo Muhimu Ya Anaowaongoza Eti Tu Kwa Sababu Wanamkebehi Huyo Kiongozi HAFAI!
Kiongozi Yupi?Nipe mfano wa kiongozi huyo hapa duniani
Ambaye hana hisia za kibinadamu, kwamba akikashfiwa na kudhauriwa yeye anaona poa tuKiongozi Yupi?
So tumuache na agenda zake hata kama tunaelekea ZIMBABWE.
caption plse lugha ya picha ni ngumu kuelewa au kuwa na tafsiri inayofanana[emoji41][emoji41][emoji41] View attachment 944004
Sijasema Hivyo. Rudi Usome Vizuri Nilichoandika.Ambaye hana hisia za kibinadamu, kwamba akikashfiwa na kudhauriwa yeye anaona poa tu
Nakushukuru kwa hoja nzuri. Safari ijayo tutajaribu kudadavua hayo uliyoyasema. Kuanzia ubomoaji na dhana ya kukasirika kunyimwa kura.Sijasema Hivyo. Rudi Usome Vizuri Nilichoandika.
Kila Binadamu Ana Hisia, Ila Unapozichukua Zile Hisia (Mfano, Hasira, Uchungu, Msongo Wa Mawazo) Na Kuziingiza Katika Utendaji Wako Kama Kiongozi Na Kufanya Maamuzi Yanayohusiana Na Uongozi Uliokabidhiwa Lazima Utajikuta Unakiuka Misingi Ya Kiuongozi Hivyo Hufai Kuwa Kiongozi.
Mfano, Ikitokea Kiongozi Akatangaza Hadharani Kwamba "Nyumba Zenu Hazitobomolewa Sababu Mlinipigia Kura" Huku Sehemu Nyingine Wanaendelea Kubomolewa Sababu Hawakumpigia Kura Inaonesha Kabisa Kuwa Kiongozi Huyo Anaongoza Huku Akiwa Na Hisia Za Visasi Na Kwa Maana Hiyo Amevunja Msingi Mmojawapo Wa Kiuongozi Wa Kutowabagua Wale Unaowaongoza.
Kwahiyo Hata Kama Kiongozi Ulikasirika Uliponyimwa Kura Au Unapokosolewa Na Upande Fulani, Unatakiwa Kuweka Hisia Hizo Pembeni Na Uongoze Kwa Kutofanya Ubaguzi.
Hakuna taasisi ya Rais,labda ungesema urais.Andiko lako lote limebebwa na maudhui ya katiba tuliyo nayo sasa ambayo Rais ni kama mfalme fulani hivi.Kuna lundo la malalamiko Rais hashauriki, hasikilizi hoja za wapinzani. Lazima mtambue kuwa Rais anapokuwa Rais anakuwa ana ajenda yake ndio maana anazunguka nchi zima kuuza ajenda zake na wanachi wakizikubali ajenda zake ndio wanampigia kura kumpa ridhaa ya kutimiza ajenda zake.
JPM kazunguka nchi nzima kunadi ajenda zake, wanachi wamempa ridhaa, mtu anaibuka huko analazimisha rais apokee ushauri wake ambao uko nje kabisa ya yale aliyonadi kwetu. Rais akipokea huo ushauri/utekelezaji wake sisi tutamjia juu maana sio alivyotuahidi. Elewa kuwa huu ndio msingi mkubwa wa taasisi ya Urais.
Ukiacha hilo Rais anaweza kwa hiari yake kupokea mambo yenu sawa anajua atakavyomalizana na wananchi wake. Sasa ndugu yangu kama una jambo kwa Rais basi jitahidi uwe mstaarabu namna ya kupeleka hilo jambo. Unatumia lugha za kebehi, madharau na kuponda halafu unategemea rais awe na furaha na ushauri wako.
Nakuona kwenye mitandao unarusha vijembe, una like mawazo ya kumtusi na kumdhalilisha Rais halafu kesho unasimama mahali unasema Rais hatusikilizi. Kuna mbunge mmoja nimeona ameandika sijui jiwe sijui ''kichaa'' wala kesho ukatize anga zangu nikuache kweli?
Rais ni taasisi lakini yenye watu ndani yake wenye hisia, maumivu kama tulivyo. Kibinadamu ni ngumu sana kuwa na furaha na mtu ambaye kila siku anatukana, anakuona mjinga na hufai. Basi niache niendeshe mambo vile nilivyokubaliana na wananchi, unanipaje ushauri mimi ambaye ni ''jiwe'' au kichaa. Ninajua haya wote tunafahamu Rais aliyatamka maneno haya katika mintarafu ipi ila kwa kwa vile tumeyaamua kayageuza maana aliyomanisha basi acha tuendelee kujifurahisha nayo si ndo tunapata nafuu ya kisaikolojia.
Kama mtu mzima nawashauri wale wenye nafasi ya majukwaa ya kuwasiliana na wananchi tumieni lugha ya staha, isiyo na maudhi na yenye mantiki katika kutoa ushauri au kukosoa pale mambo yasipoenda sawa lugha za ku belittle madaraka na uwezo wa serikali hazijengi.
Dawa ya kuondoa masimango arudishe pesa za wana koro-showHuwa nasema hivi kwa vijana wenzangu,bahati mbaya JF ina watu wanaojiita GT,ukimkosoa tu utatukanwa matusi yote,utasimangwa nk.
Imagine raisi analaumiwa kwa kuagiza jeshi kufanya kazi flani[emoji38][emoji38][emoji38],mtu mishipa imemtoka kabisa anasema raisi kakosea,unaweza ona ni jinsi gani tunahitaji uponyaji.
Mkuu kwanza karibu sana jf ( joined on monday ) , halafu kingine ni hiki , Rais wa nchi haongozi nchi kwa matakwa yake , analazimishwa kufuata katiba ya nchi .Kuna lundo la malalamiko Rais hashauriki, hasikilizi hoja za wapinzani. Lazima mtambue kuwa Rais anapokuwa Rais anakuwa ana ajenda yake ndio maana anazunguka nchi zima kuuza ajenda zake na wanachi wakizikubali ajenda zake ndio wanampigia kura kumpa ridhaa ya kutimiza ajenda zake.
JPM kazunguka nchi nzima kunadi ajenda zake, wanachi wamempa ridhaa, mtu anaibuka huko analazimisha rais apokee ushauri wake ambao uko nje kabisa ya yale aliyonadi kwetu. Rais akipokea huo ushauri/utekelezaji wake sisi tutamjia juu maana sio alivyotuahidi. Elewa kuwa huu ndio msingi mkubwa wa taasisi ya Urais.
Ukiacha hilo Rais anaweza kwa hiari yake kupokea mambo yenu sawa anajua atakavyomalizana na wananchi wake. Sasa ndugu yangu kama una jambo kwa Rais basi jitahidi uwe mstaarabu namna ya kupeleka hilo jambo. Unatumia lugha za kebehi, madharau na kuponda halafu unategemea rais awe na furaha na ushauri wako.
Nakuona kwenye mitandao unarusha vijembe, una like mawazo ya kumtusi na kumdhalilisha Rais halafu kesho unasimama mahali unasema Rais hatusikilizi. Kuna mbunge mmoja nimeona ameandika sijui jiwe sijui ''kichaa'' wala kesho ukatize anga zangu nikuache kweli?
Rais ni taasisi lakini yenye watu ndani yake wenye hisia, maumivu kama tulivyo. Kibinadamu ni ngumu sana kuwa na furaha na mtu ambaye kila siku anatukana, anakuona mjinga na hufai. Basi niache niendeshe mambo vile nilivyokubaliana na wananchi, unanipaje ushauri mimi ambaye ni ''jiwe'' au kichaa. Ninajua haya wote tunafahamu Rais aliyatamka maneno haya katika mintarafu ipi ila kwa kwa vile tumeyaamua kayageuza maana aliyomanisha basi acha tuendelee kujifurahisha nayo si ndo tunapata nafuu ya kisaikolojia.
Kama mtu mzima nawashauri wale wenye nafasi ya majukwaa ya kuwasiliana na wananchi tumieni lugha ya staha, isiyo na maudhi na yenye mantiki katika kutoa ushauri au kukosoa pale mambo yasipoenda sawa lugha za ku belittle madaraka na uwezo wa serikali hazijengi.
Tatizo we dont have VISION as a nation, ndo maana kila mtu anakuja na ajenda zake. Ilitakiwa rais aje na only mission lakini Vision izikute!Kuna lundo la malalamiko Rais hashauriki, hasikilizi hoja za wapinzani. Lazima mtambue kuwa Rais anapokuwa Rais anakuwa ana ajenda yake ndio maana anazunguka nchi zima kuuza ajenda zake na wanachi wakizikubali ajenda zake ndio wanampigia kura kumpa ridhaa ya kutimiza ajenda zake.