Secret person
JF-Expert Member
- Sep 23, 2019
- 334
- 795
Wana Tamaa ya kuteuliwa Hata UDC Ila serikali mpaka leo haijawaona naomba niwaorodheshe.
1. Harris Kapiga
2. Mc Pilipili
3. Masanja Mkandamizaji.
4. Maulidi Kitenge.
5. Mwijaku.
6. Shilole.
7. Wema Sepetu
8. Steven Nyerere.
Hawa ni watu wameonyesha nia kubwa ya uchawa na kupewa fadhila yoyote na CCM.
1. Harris Kapiga
2. Mc Pilipili
3. Masanja Mkandamizaji.
4. Maulidi Kitenge.
5. Mwijaku.
6. Shilole.
7. Wema Sepetu
8. Steven Nyerere.
Hawa ni watu wameonyesha nia kubwa ya uchawa na kupewa fadhila yoyote na CCM.