Tatizo Elimu. Sisi watanzania tunataka Maendeleo ya Watu. Siyo Maendeleo ya Vitu. Nyerere aliimba sana hili. Kuwa Maendeleo ni Pamoja na Kukuza Ustawi, Uchumi wa Mtu Binafsi, Uhuru wa Maoni, Huduma Bora za Jamii Demokrasia Huru. Reli, ndege, barabara, viwanja nk, bila UHURU, DEMOKRASIA na UCHUMI BORA BINAFSI ni bora ya Ukoloni wa Mwingereza.Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika, iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia tangu Magufuli aingie magogoni, asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji. Na hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Ambapo moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kabla ya ile ya fahamu na mimeng'enyo.
Kama asili yetu imeone umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa Kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Maendeleo yenye damu za watu hatuna haja nayo!Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika, iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia tangu Magufuli aingie magogoni, asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji. Na hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Ambapo moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kabla ya ile ya fahamu na mimeng'enyo.
Kama asili yetu imeone umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa Kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Mkuu ndiyo maana tawala zetu nyingi za waAfrika zinayumba kwa sababu ya ubinafsi wa raia wake na kukosa msimamo, wanapeperushwa kama bendera kufuata upepo, ni rahisi sana kuingizwa mkenge.Toka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika, iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia tangu Magufuli aingie magogoni, asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji. Na hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Ambapo moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kabla ya ile ya fahamu na mimeng'enyo.
Kama asili yetu imeone umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa Kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
Maendeleo yenye damu za watu hatuna haja nayo!
Pole sana Tundu Lissu
Siwezi kufurahia mtu yeyote akikumbwa na hayo ila kuna watu wamekuwa wakifanya hayo halafu wakimlaumu serikali?Maendeleo ni pamoja na kuteka watu?, kuua watu?, kutesa watu, kupiga risasi watu?, kunyanyasa watu?, kama hayo nayo ni maendeleo basi hatuyataki maendeleo ya namna hiyo
PALE NJAA INAPOHAMIA KICHWANI, mkuu tafuta ukuu wa wilaya kwa njia zingineToka awamu ya tano iingie madarakani, kumekuwa na maendeleo mengi sana yakifanyika, iwe ujenzi wa hospitali, barabara, madaraja, reli, ununuzi wa ndege na hata bwawa la umeme. Baadhi yetu umuhimu wa vitu hivi ni dhahir na nia ya Rais iko wazi.
Ukiangalia tangu Magufuli aingie magogoni, asilimia nyingi ya maamuzi yake yamelenga katika ujenzi wa mifumo ya usafirishaji. Na hata ukichukulia katika makuzi ya viumbe hai, mifumo ya mwazo kabisa kujengwa wakati mtoto yupo tumboni mwa mama yake ni ile ya usafirishaji. Ambapo moyo na mishipa ya damu huanza kujengwa kabla ya ile ya fahamu na mimeng'enyo.
Kama asili yetu imeone umuhimu wa mifumo ya usafirishaji, iweje leo tubeze umuhimu wake katika uchumi?
Sasa Kwa kuwa kuna watu wanaopinga Mh. Rais kufufua/kujenga reli, bwawa la umeme na ununuzi wa ndege, basi wao watuambie ni kipi muhimu kufanywa kwanza.
Maendeleo ni nini?
kama hakuna reli na barabara mazao na huduma za jamii zitawafikiaje walengwa?Tatizo Elimu. Sisi watanzania tunataka Maendeleo ya Watu. Siyo Maendeleo ya Vitu. Nyerere aliimba sana hili. Kuwa Maendeleo ni Pamoja na Kukuza Ustawi, Uchumi wa Mtu Binafsi, Uhuru wa Maoni, Huduma Bora za Jamii Demokrasia Huru. Reli, ndege, barabara, viwanja nk, bila UHURU, DEMOKRASIA na UCHUMI BORA BINAFSI ni bora ya Ukoloni wa Mwingereza.
Huo umaskini atapambana nao vipi kama hakuna barabara za kufikia walengwa?Chamoto,
..pamoja na ujenzi wa miundombinu, Magu anatakiwa apambane na umasikini na tatizo la ukosefu wa ajira.
..tatizo lake he is too one dimensional, yuko kwenye miundombinu tu. He needs to do more, na ni bahati mbaya kwamba hataki ushauri na anachukia sana akikosolewa.
kama hakuna reli na barabara mazao na hudima za jamii zitawafikiaje walengwa?
Tatizo la uchaguzi Tanzania siyo matakwa ya wananchi, ni watawala wanajiamulia nani wanamtaka wao ndiye anakuwa, hivyo utakachokiona kwenye uchaguzi mkuu 2020 siyo uchaguzi wa wananchi bali watawala.Mkuu ndiyo maana tawala zetu nyingi za waAfrika zinayumba kwa sababu ya ubinafsi wa raia wake na kukosa msimamo, wanapeperushwa kama bendera kufuata upepo, ni rahisi sana kuingizwa mkenge.
Hakuna mtu asiyependa maendeleo kama yanayofanywa na serikali, isipokuwa kinachofanywa na wachache ni kupandikiza hila za kuvuruga mawazo ya watu, ambapo inatakiwa wapuuzwe kwa nguvu zote.
Ukiuliza wanaopiga kelele waeleze ni kipaumbele gani ambacho wao wangeanza nacho, hawana jibu na hawaelewi wangeanza na nini, ilimradi tu anayofanya Jpm hawakitaki!
Kama kweli kuna watu hawapendi anayoyafanya Jpm kutoka mioyoni mwao, basi nitasadiki kwenye uchaguzi mkuu 2020.
Baada ya hapo, nitaomba tuufunge mjadala huu maana tutakuwa tumeelewa 'rangi' halisi ya raia.
Yeye alianza na kujenga miundombinu ya usafirishaji ili gharama za maisha zipungue na hivyo kupunguza umaskini. Mtu ataweza kutoka Mwanza akaja na treni ya umeme Dar akauza sangara wake na jioni akarudi Mwanza, siku hiyo hiyo...kweli.
..what is his poverty reduction plan?
..but where is his job creation program?
Serikali inatoa mkopo wa matrekta kwa bei nafuu, mwaka huu tumepata ziada ya chakula tani milioni 3.32 wakati mwaka 2014 tulikuwa na ziada ya tani milioni 2.3...hebu jiulize kilimo kimekuwa kwa asilimia ngapi tangu Jpm aingie madarakani.
..Halafu tafuta data kuwa kilimo kinatakiwa kikue by what percent na kwa muda gani ili umasikini uwe historia.
..Ukipata hizo facts utajua kwanini wengine tunaamimi Jpm is on the wrong track,na anatuchelewesha.