Watu wanaopenda Internet data njooni apa




Anyway, Halotel wana SIM Card za M2M nenda halotel shop
 
Airtel *149*91# kuna bundle maalumu zinaitwa SME (Small and Medium-size Enterprises). Unajiandikisha kwa wakala wa Airtel na unapaswa kuwa na TIN number na Bussiness licence. Unakuwa unapata 22GB kwa 20,000/=
 
Yani huwezi kunitenganisha na Yas Fiber japo shida huwezi kuhama nayo. Kwa 55000 napata mb hadi 120 kwa sekunde mwezi mzima japo wao wanasema inapaswa nipate 20mbs ila napata speed kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…