Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,329
- 4,202
Hataree duh sie ambae hatuna connection na pesa nani atakayetuoa duh. Maisha yanakwenda haraka sanaWigelekelo Tinsley mkuje kunipa samaree pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!!!
Hahahaaa... tutavundaaa na kudoda mpaka tukomeeee😁!!hataree duh sie ambae hatuna connection na pesa nani atakayetuoa duh . Maisha yanakwend haraka sana
Hahahahaaa nmecheka sana. Ila si ashapata alichokuwa anakitaka?? Inabidi avumulie tuu ajifunze kutabasamu back [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nina jamaa alioa mke kwasababu hizo hizo,demu alikuwa wakishua. Kinachotokea sasa hivi, jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
🤣🤣🤣jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
sogea tukae tutaifanya tu hahaha . Hakuna namnaHahahaaa... tutavundaaa na kudoda mpaka tukome!!
Hahahaaa... tutavundaaa na kudoda mpaka tukome!!
Jamaa muda wote ana jazba
Kwenye mapenzi kuna kuchokana, sasa usiombe sababu iliyowafanya muwe pamoja, sio upendo. MtajutaHahahahaaa nmecheka sana. Ila si ashapata alichokuwa anakitaka?? Inabidi avumulie tuu ajifunze kutabasamu back [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akome kirangaaaa, si alifata kitongaNina jamaa alioa mke kwasababu hizo hizo,demu alikuwa wakishua. Kinachotokea sasa hivi, jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Baadae ndio yanakuwa kama yale "........kaeni kimya........order order........".
Kivipi Mkuu?Nina jamaa alioa mke kwasababu hizo hizo,demu alikuwa wakishua. Kinachotokea sasa hivi, jamaa anapatwa na hasira hata mkewe akitabasamu
Kabisa😂Kwenye mapenzi kuna kuchokana, sasa usiombe sababu iliyowafanya muwe pamoja, sio upendo. Mtajuta