Watu wanajua kutangaza bana!

Nyie fanyeni siasa za KIBASHITE wakati wenzenu sasa wanawaza mambo ya NUCLEAR na sio STIEGLER"S gorge!!!
 
Kila mtu apambane na hali yake
 
Sisi tunawatumia sjui ant Ezekiel au wakina Uwoya, mariam birian, menina
Sjui mwijakuu,

Ova
 
Hahaha kwa hiyo Muzungu aje Afrika kuona Magorila, kweli somethings never change!





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…