Watu wanaishi na wenza ambao si wao

FB_IMG_16662822866021113.jpg
 
😂Yaani saiv nikiskia ama kuona mwanamke anaolewa namuonea huruma sana maana wanawake wengi wanamatarajio makubwa mnoo kweny ndoa kuliko uhalisia wenyewe so wakishaingia kweny ndoa wakakuta mambo ni tofaut na walivyotarajia hapo visa ndo vinaanza kuepusha ayo yote watu wajitahidi kutafuta wenza wao wafunge ndoa waishi nao vyenginevyo itakuwa mtihani kw kweli 😂😂😂
 
Bora kuwa single
 
Back
Top Bottom