D DASM JF-Expert Member Mar 26, 2017 2,360 2,863 May 30, 2019 #1 Kwa wanaomfahamu huyu binti kwenye picha ni Nani eti.
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,756 May 30, 2019 #3 Hiyo picha alipigwa Viatu vya Samaki.
Mbao za Mawe JF-Expert Member May 11, 2015 23,373 54,756 May 30, 2019 #4 Khantwe said: Ni mimi Click to expand... Ulivaa chujio la ndani kweli, sikumbuki kama ulivaa siku hiyo.
Khantwe said: Ni mimi Click to expand... Ulivaa chujio la ndani kweli, sikumbuki kama ulivaa siku hiyo.
in ha JF-Expert Member Oct 20, 2017 1,722 3,877 May 30, 2019 #5 Hakuna mtu asiye na historia...ila alikua na rangi nzuri zamani
flulanga JF-Expert Member Jul 1, 2016 4,861 6,343 May 30, 2019 #6 Duh kumbe huyu mtoto alikuwa mzurii sana
Chrismoris JF-Expert Member Oct 27, 2017 13,550 16,631 May 30, 2019 #7 in ha said: Hakuna mtu asiye na historia...ila alikua na rangi nzuri zamani Click to expand... Kwa sasa rangi yake ikoje ?
in ha said: Hakuna mtu asiye na historia...ila alikua na rangi nzuri zamani Click to expand... Kwa sasa rangi yake ikoje ?
in ha JF-Expert Member Oct 20, 2017 1,722 3,877 May 30, 2019 #8 Dreka said: Kwa sasa rangi yake ikoje ? Click to expand... Kanywa maji mengi...rangi ya dubai
Foxhound JF-Expert Member Dec 15, 2013 28,063 74,477 May 30, 2019 #9 Ni More battle, siku nyingine ukiweka picha mgeuzie huku