Fede Masolwa
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 529
- 123
Nikauli ya Mh. mbowe alioitoa leo Dar, sijamuelewa kamanda wa anga alimaanisha nini?
Kamanda wa anga kamaanisha Dr. Mihogo anayeishi Serena Hotel akipewa ulinzi maalum wa usalama wa taifa kajithaminisha kwa vipande kadhaa vya fedha na wale wataalamu wa kununua watu wenye thamani ya vijisenti au hela ya mboga washamuweka katika himaya yao.
Dr. Mihongo sasa ana kazi moja tu ya kula mihogo na kuongea na WATANZANIA wake kwa njia ya TV zote atakavyo nchi hii huku kauli zake zikishangiliwa sana na wale MAFISADI 10 waliopo kile chama cha zamani.
Dr. Slaa kanunuliwa through Msumbuzi kwa 7 Billion
Nikauli ya Mh. mbowe alioitoa leo Dar, sijamuelewa kamanda wa anga alimaanisha nini?
no evid
Dr. Slaa kanunuliwa through Msumbuzi kwa 7 Billion
haijafika 7, it was far less than that