ni kweli PCM,PCB, PGM wanapeta sana kwenye maisha hasa kutusua maisha hata kama magumu yanaenda vizuri tu
wengi watakaobishana na ukweli huu jua wanaugua ugonjwa wa inferiority complex!!Hivi ni kweli kwamba watu waliosoma maths kwa angalau ngazi ya kidato cha 5 na 6 wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo ukilinganisha na wale waliosoma masomo ya Art kama Kiswahili!?
MKUU...umekosea sio tafuta x,ni tafuta thamani ya x...ni halali yako kukimbia hesabu!!!unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali
x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona
huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
hvi we unajielewa kweli?
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali
x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona
huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
Ni kweli, mbali na kuchanganua mambo hata unapoongea nao na kuwauliza maswali huwa wanatoa majibu kwa haraka sana bila kujali jibu ni sahihi au sio sahihi.
Mkuu kwa taarifa yako somo la Economics limejaa hesabu za nguvu,kama hesabu haipandi kichwani mwako huwezi kufaulu somo/shahada ya ECONOMICS. Hesabu ndio kila kitu Duniani.Sio Kweli mbona Lipumba hawezi kuchanganua mambo!!!!?
Ndilo tatizo lao kubwa, na wengi wao waliopewa Uongozi ndio wametuharibia Taifa letu kimadili,akili zao masaa yote zinafikiria ma deal tu na matanuzi!!wengi watakaobishana na ukweli huu jua wanaugua ugonjwa wa inferiority complex!!
Yanarudi yale yale! Mkuu hapa hatuzungumzii hesabu za chekechea.unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali
x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona
huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
unajua kuna mambo mengine ni ujinga sana eti
linakuja swali
x + 20=40 halafu wananiambia nitafute x wakati x naiona
huu ujinga ndio maana hesabu ilinishinda
Hivi ni kweli kwamba watu waliosoma maths kwa angalau ngazi ya kidato cha 5 na 6 wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo ukilinganisha na wale waliosoma masomo ya Art kama Kiswahili!?