tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,145
Hivi ni kweli kwamba watu waliosoma maths kwa angalau ngazi ya kidato cha 5 na 6 wana uwezo mkubwa wa kufikiri na kuchanganua mambo ukilinganisha na wale waliosoma masomo ya Art kama Kiswahili!?
Sio Kweli mbona Lipumba hawezi kuchanganua mambo!!!!?
Lipumba si kasoma EGM? Au?
Sio Kweli mbona Lipumba hawezi kuchanganua mambo!!!!?
PCM, PGM, CBM na EGM wanasoma Pure mathematics lakini ECA wanasoma hesabu za kawaida... kwa hvo LIPUMBA hajagusa hesab za advance!!
hvi we unajielewa kweli?
PCM, PGM, CBM na EGM wanasoma Pure mathematics lakini ECA wanasoma hesabu za kawaida... kwa hvo LIPUMBA hajagusa hesab za advance!!
teh teh teh...EGM haina hesabu,au?