Watu walio na midomo iliyo babuka

Ugonjwa haupimwi kwa macho ,,,,,,usidhalilishe wagonjwa kwani hawakupenda kuumwa na binadamu tunapita hujui lini utapata magonjwa makubwa kama wao.
Wewe macho yako mabovu,,mim huwa nawajua sana najua huyu mzima huyu sio
 
Hujafa hujaumbika. Tena mate chini. Mengine tunaenda kwa huruma zake Mwenyezi Mungu tu
 
Hapo kwenye RED umenifanya nicheke sana aisee. Ama kweli dunia ina mambo.
 
Eee fanya sana mchubuane uone,,kuna homa ya ini iuna ukimwi yaan sijui twaenda wapii

Ha ha haaa!! Embu usinivunje mbavu mie. Michubuko inaweza kusababishwa na vitu vingi. Unaweza kufanya sana na ukapata au usipate mchubuko hali kadhalika unaweza ukafanya kidogo na ukapata au usipate mchubuko.
 
Duuuh!
 
Mim sitaki siku hizi ,,kidogo tu nimetosha
 
Mim sitaki siku hizi ,,kidogo tu nimetosha

Ha ha haaa!! Wewe endelea kujidanganya tu... Dawa ya UKIMWI ni kutafanya zinaa tu. Hayo mengine mnajidanganya ili kujifariji tu. Nikianza kukuandikia scientific facts hapa naweza kukuharibia siku yako. Acha niishie hapa.
 
Halafu siku hz wanakatabia ka kupima ngoma kiajabu ajabu hasa makuti pale, siku hyo nilishangaa naanza kupokea PITC, nkagoma kupima.
 
Ha ha haaa!! Wewe endelea kujidanganya tu... Dawa ya UKIMWI ni kutafanya zinaa tu. Hayo mengine mnajidanganya ili kujifariji tu. Nikianza kukuandikia scientific facts hapa naweza kukuharibia siku yako. Acha niishie hapa.
Najua yote hayo lakin ndio hivyo ,ngoja nipike chai mie
 
Uko sahihi kweli waathirika wanababuka midomo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…