Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 763
Wadau mupoooooo ?
Nakuona ushaingiza hisia za siasa, la hasha hapa hakuna sihasa kikubwa nataman kusikia machache toka kwako
2016 umepita kindaki ndaki hongera umeupinduwa swalama, 2017 umeanza kwa kasi ya ajabu na mabadiliko kidogo hasa swala la kazo za shule awamu zimeshakuwa mbili da inasikitisha sijui mwakan watasema tulipe moja kweli sijui
Kwa wale waliocheza rafu na sarakas za hapa na pale 2016 kweli mwaka 2017 yale makeke yanawezekana ? au hawa ndugu zetu itabidi watuvumilie mpaka tulipe ada
Yaani this time kuna hawa jinsia ya pili ndugu zetu nazan watahamia kwenye mikoa waliyotokea maana sasa haiwezekani tena sponsorship ilitetereka 2015 , 2016 ikawa kwa tabu tabu 2017 sizani
Hebu mdau toa tathmin yako