Elineema J Mosi
JF-Expert Member
- May 17, 2013
- 808
- 148
Ndugu wana jf. Tafsiri za kauli za kisiasa bado zinasumbua wengi,Naona bado wanasubiri maisha Bora. Hakuna ajua maana ya kauli ile pengine ndo haya sasa mnasubiri nini wadau? Kumbuka jiwe nalo n bidhaa muhimu ya Ujenzi!