Rockefeller JF-Expert Member Joined Nov 21, 2016 Posts 1,236 Reaction score 2,365 Jun 18, 2019 #2 Wanaweka ulinzi mkali kwa ajili yenu ili wanyama wasitoroke wakawadhuru.
C chilubi JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 8,201 Reaction score 6,269 Jun 18, 2019 #3 Wewe muombe tu akufungulie uingie ndani ya banda. Mbona fresh tu utapata kucheza na simba, chui na wengine na selfie utapiga nao. Kama ukiona wabishi tegea jamaa akiwa hatizami tia mkono bandani umpe nyama yoyote tu ambae itakuwa rahisi
Wewe muombe tu akufungulie uingie ndani ya banda. Mbona fresh tu utapata kucheza na simba, chui na wengine na selfie utapiga nao. Kama ukiona wabishi tegea jamaa akiwa hatizami tia mkono bandani umpe nyama yoyote tu ambae itakuwa rahisi
stephot JF-Expert Member Joined Mar 1, 2012 Posts 18,131 Reaction score 28,045 Jun 18, 2019 #4 Jaribu hata kuweka mkono tu kwenye banda la Chui halafu utajua kwanini wanafunga na makufuli makubwa...
Jaribu hata kuweka mkono tu kwenye banda la Chui halafu utajua kwanini wanafunga na makufuli makubwa...
Mlachake JF-Expert Member Joined Oct 13, 2009 Posts 4,471 Reaction score 4,723 Jun 18, 2019 #5 MIMI NI mmewadadako
DiasporaUSA JF-Expert Member Joined Aug 27, 2016 Posts 24,049 Reaction score 30,960 Jun 18, 2019 #6 Wanawaamini ila wanajali usalama wenu.
hearly JF-Expert Member Joined Jun 19, 2014 Posts 54,381 Reaction score 80,408 Jun 18, 2019 #7 Hata uwezo wa Kujua mantiki huna! ?
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 40,132 Reaction score 125,169 Jun 18, 2019 #8 Muulize mmewadadako
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 16,920 Reaction score 28,507 Jun 18, 2019 #9 Write your reply... yaani wanawafungia chui,simba halafu wanamwachia faru supika? kweli dunia haina usawa.
Write your reply... yaani wanawafungia chui,simba halafu wanamwachia faru supika? kweli dunia haina usawa.
NYEKUNDU YA BIBI JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 2,307 Reaction score 3,021 Jun 18, 2019 #10 [emoji23][emoji23][emoji23]under the name of Nyete
naiman64 JF-Expert Member Joined Nov 22, 2013 Posts 6,989 Reaction score 5,510 Jun 18, 2019 #11 mmewadadako said: Nashindwa kuelewa hawa watu wa zoo,,..unakuta wamewafunga wanyama kwenye cage,wamefunga makufuli makubwa makubwa na walinzi juu. hivi kwa nini hawatuamini kiasi hicho kwani kuna mtu anaweza kuiba chui ? Click to expand... GT peke yake atakuelewa, na ukijibiwa nistue
mmewadadako said: Nashindwa kuelewa hawa watu wa zoo,,..unakuta wamewafunga wanyama kwenye cage,wamefunga makufuli makubwa makubwa na walinzi juu. hivi kwa nini hawatuamini kiasi hicho kwani kuna mtu anaweza kuiba chui ? Click to expand... GT peke yake atakuelewa, na ukijibiwa nistue