Watu wa vijijini mna vitabia sana

Angel Msoffe

JF-Expert Member
Jun 21, 2011
6,781
1,639
Ninasikitika sn kusikia ccm imeshinda Igunga, naamini wengi walioipa kura ni watu wanaoish vijijini ambapo mpaka leo wanasema ccm iliwazaa na kuwalea, na wale walioelimika kidogo ktkn na umaskini walio nao wanadanganywa na vipea vya kanga na pilau, sio siri WANABOA NA WANAKERA SN MANA HATA UMUELIMISHE KWA MIFANO YA TATZO LA UMEME, DOWANS bado hawaelewi, HAWA RAIA NDO WANALETA UMASKINI TANZANIA
 
Hizo dharau ndio zinazowafanya watu wasione tofauti ya CDM na CCM.

Mnajiona mnajua kumbe ni malimbukeni.

Dowans inawahusu nini watu wasiojua umeme, halmashauri zenu mbona zipozipo tu? Viongozi wenu wengi walikuwa CCM na walipitisha miswaada mingi ambayo leo wanaipinga.

Kwa kifupi, upinzani ulikosa maana pale mlipokubali kuingia uchaguzi wa 1995 bila mabadiliko ya Katiba. La hasha hawa wakuu wa mikoa na wilaya,pamoja na mawaziri na makatibu wao wangekuwa ni watu waliopitishwa na bunge, na siyo rais kama ilivyo sasa.Hata Zitto na Mbowe wameshinda ubunge kwa margin ndogo sana,tofauti na watu wanavyofikiri.
 
Ninasikitika sn kusikia ccm imeshinda Igunga, naamini wengi walioipa kura ni watu wanaoish vijijini ambapo mpaka leo wanasema ccm iliwazaa na kuwalea, na wale walioelimika kidogo ktkn na umaskini walio nao wanadanganywa na vipea vya kanga na pilau, sio siri WANABOA NA WANAKERA SN MANA HATA UMUELIMISHE KWA MIFANO YA TATZO LA UMEME, DOWANS bado hawaelewi, HAWA RAIA NDO WANALETA UMASKINI TANZANIA

in short masikini wa fikra ndo unaoongeza umasikini TZ
 
Hizo dharau ndio zinazowafanya watu wasione tofauti ya CDM na CCM. Mnajiona mnajua kumbe ni malimbukeni. Dowans inawahusu nini watu wasiojua umeme, halmashauri zenu mbona zipozipo tu? Viongozi wenu wengi walikuwa CCM na walipitisha miswaada mingi ambayo leo wanaipinga. Kwa kifupi, upinzani ulikosa maana pale mlipokubali kuingia uchaguzi wa 1995 bila mabadiliko ya Katiba. La hasha hawa wakuu wa mikoa na wilaya,pamoja na mawaziri na makatibu wao wangekuwa ni watu waliopitishwa na bunge, na siyo rais kama ilivyo sasa.Hata Zitto na Mbowe wameshinda ubunge kwa margin ndogo sana,tofauti na watu wanavyofikiri.
wangepat wapi nguvu ya kudai katiba bila kuingia bungeni? Wanakijiji wanadanganywa huu ni ukweli na ukweli huu ndo unaliangamiza taifa
 
hii mijitu ya vijijini yan sijui ina kitu gani tuiache tu na hali mbaya zaidi ndo inakuja wataipata
 
Sio vijijini tu hata hapa dar,hasa huku Ilala wao ni Magamba tu na rusha roho.
 
Msiwatukane,they need Elimu kuhusu haki zao,by the way babu zako walitoka kijini why unawatukana babu zetu?Dar kwenyewe wa mjini mbona bado mwachagua CCM?
 
hii mijitu ya vijijini yan sijui ina kitu gani tuiache tu na hali mbaya zaidi ndo inakuja wataipata
Wenzako hali mbaya ndo kama maisha yao wanaona normal.Wanaishi kwenye nyumba za majani,wanaenda kwa wafumu.waleteni mjini muwaonyeshe nyumba nzuri,umeme,hospitals n.k then muaelimishe umuhimu wake muone kama watachagua CCM
 
Mkuu hapo umenena vema na kwa kweli wameniboa sana hawa wanavijiji,na kwa jinsi ninavyovielewa vijiji vingi vya Igunga hawa watu wanahatari sana kwa kuwachgua tena hawa mfedhuli na mafisadi walipita kipimo.wanashida sana hawa wanavijiji wa Igunga,wanadhiki nyingi,ni masikini wa kutupa,kielimu napo hoi,njaa ni kubwa hapo Igunga,sasa kwa kufanya hivyo nawasikitikia sana japo nami ni boreka sana kwa kusikia Shetani CCM kashinda.
Nadhani ni kwa sababu ya ujinga,uelewa ni mdogo sana hawa wanavijiji na hii huenda ni sababu ya pea za khanga,huwa kuna mgawo wa chumvi kwa kina mama ect
Lakini nafarijika sana kwa kura zilizopatikana kwa chadema,kimtizamo na kitaaluma alieshindwa hapo ni ccm na ccm B,Kisiasa za TZ ccm wameshinda kwa mujibu wa matangazo ya Nape
 
Ninasikitika sn kusikia ccm imeshinda Igunga, naamini wengi walioipa kura ni watu wanaoish vijijini ambapo mpaka leo wanasema ccm iliwazaa na kuwalea, na wale walioelimika kidogo ktkn na umaskini walio nao wanadanganywa na vipea vya kanga na pilau, sio siri WANABOA NA WANAKERA SN MANA HATA UMUELIMISHE KWA MIFANO YA TATZO LA UMEME, DOWANS bado hawaelewi, HAWA RAIA NDO WANALETA UMASKINI TANZANIA
Pole Me!! wasaidie basi na wao wakasomage kama wewe mwanawane!!!
 
wangepat wapi nguvu ya kudai katiba bila kuingia bungeni? Wanakijiji wanadanganywa huu ni ukweli na ukweli huu ndo unaliangamiza taifa
Mkuu, si kashindye wala mafumu watakaoleta maendeleo Igunga.
Wana Igunga wanajua hilo.
Hizo helikopta zilikuwa ni hela za mafungu. Nina hakika zaidi ya bilioni imetumika,kutoka serikalini kuingia vyamani.
Kikao kijacho msiingie bungeni mpaka tujue katiba itakuwaje, hapo wananchi wanaweza kuona tofauti.
 
Hizo dharau ndio zinazowafanya watu wasione tofauti ya CDM na CCM.

Mnajiona mnajua kumbe ni malimbukeni.

Dowans inawahusu nini watu wasiojua umeme, halmashauri zenu mbona zipozipo tu? Viongozi wenu wengi walikuwa CCM na walipitisha miswaada mingi ambayo leo wanaipinga.
ooooho hooo ho hoh hooooo..................cant believe this person is among great thinkers,huh
 
kama nusu ya wanakijiji wataelimika na kuikataa ccm nauhakika nchi itakomboleka bila vita
 
Na hao wa vijijini wataendelea kuambulia kofia na khanga wakati wa uchanguzi tu.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom