Sales *MAN* wa kike?
Mnafanya biashara ya bidhaa gani?
Deadline ya kupokes CV ni lini?
Nafasi ni ngapi?
Umri wa applicants usizidi mingapi?
Naomba Nisendie PmNinayo kampuni ya kurecruit, njoo nikupe watu
Mkuu tangazo limesema Wa kikeSaleswoman wa kiume je?
hahahahaaaaSales *MAN* wa kike?
Mnafanya biashara ya bidhaa gani?
Deadline ya kupokes CV ni lini?
Nafasi ni ngapi?
Umri wa applicants usizidi mingapi?
Eti salesman wa kike [emoji1]Sales *MAN* wa kike?
Mnafanya biashara ya bidhaa gani?
Deadline ya kupokes CV ni lini?
Nafasi ni ngapi?
Umri wa applicants usizidi mingapi?
Naweza kupata sales and marketing mzuri na anaejitambua, atakaejua kusaka soko vizuri kabisa asiwe na maringo. Kama unao nakuomba pm ili nipate cv za angalau watatu wa kiumeNinayo kampuni ya kurecruit, njoo nikupe watu