Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,761
- 165,352
Mkuu hata kama wangekuwa wanajitambua,Mimi binafsi siamini kama mpiga kura wa Tanzania na kura yake kama inachagua kiongozi,yaani nyie watu kama mmeshindwa kujifunza kwa yaliyotokea Zanzibar 2015 basi nianze kuamini TZ hakuna upinzani wa kweliMtu kutoka kundi la watu hawa siku ya kupiga kura anaingia kwenye chumba cha kupiga kura na kuchagua viongozi kama ifuatavyo.
1.Raisi kutoka chama kilichoshindwa
2.Mbunge kutoka chama kilichoshindwa
3.Diwani kutoka chama kilichoshindwa.
Sifa kuu za mtu huyu(zote au baadhi):
1.Ujinga(kukosa elimu)
2.Umasikini
3.Kuishi vijijini
4.Kukosa exposure
5.Ulughalugha
6.Ana umri wa miaka 60,70 au zaidi
7.Anakaribia kustaafu
8.Hamiliki smartphone(haingii mitandaoni)
9.Ni mpenzi wa kusikiliza TBC
10.Ni mpenzi wa kuangalia TBC
11.Elimu ya darasa la saba au chini ya hapo.
12.Alisoma elimu ya mkoloni
13.Mstaafu wa siku nyingi.
Kama unabisha fanya utafiti uone
Mtu kutoka kundi la watu hawa siku ya kupiga kura anaingia kwenye chumba cha kupiga kura na kuchagua viongozi kama ifuatavyo.
1.Raisi kutoka chama kilichoshindwa
2.Mbunge kutoka chama kilichoshindwa
3.Diwani kutoka chama kilichoshindwa.
Sifa kuu za mtu huyu(zote au baadhi):
1.Ujinga(kukosa elimu)
2.Umasikini
3.Kuishi vijijini
4.Kukosa exposure
5.Ulughalugha
6.Ana umri wa miaka 60,70 au zaidi
7.Anakaribia kustaafu
8.Hamiliki smartphone(haingii mitandaoni)
9.Ni mpenzi wa kusikiliza TBC
10.Ni mpenzi wa kuangalia TBC
11.Elimu ya darasa la saba au chini ya hapo.
12.Alisoma elimu ya mkoloni
13.Mstaafu wa siku nyingi.
Kama unabisha fanya utafiti uone
Hapa umenena mkuumkuu, wote hao wanaweza wakachagua chama tofauti na ccm, lakini kama tume ya uchaguzi ni hii hii, basi ogopa sana "wapiga kura wasiojulikana."
haswaa.. kwa washamba!Kwa hiyo unataka kuniambia, mheshimiwa kapata kura nying kutoka vijijin?
Umeamua kuwatusi wazazi na walio sawa na wazazi wako!!Mtu kutoka kundi la watu hawa siku ya kupiga kura anaingia kwenye chumba cha kupiga kura na kuchagua viongozi kama ifuatavyo.
1.Raisi kutoka chama kilichoshindwa
2.Mbunge kutoka chama kilichoshindwa
3.Diwani kutoka chama kilichoshindwa.
Sifa kuu za mtu huyu(zote au baadhi):
1.Ujinga(kukosa elimu)
2.Umasikini
3.Kuishi vijijini
4.Kukosa exposure
5.Ulughalugha
6.Ana umri wa miaka 60,70 au zaidi
7.Anakaribia kustaafu
8.Hamiliki smartphone(haingii mitandaoni)
9.Ni mpenzi wa kusikiliza TBC
10.Ni mpenzi wa kuangalia TBC
11.Elimu ya darasa la saba au chini ya hapo.
12.Alisoma elimu ya mkoloni
13.Mstaafu wa siku nyingi
14.Ni mnufaika wa system kwa namna moja au nyingine.
Kama unabisha fanya utafiti uone