Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,390
- 11,890
Piga picha Mkuu, tunza kumbukumbu zako kwa bidii..... Na usiogope kesho yako aiseeee......Ndo maana sipigagi picha,najiepusha na hizi kumbukumbu!
Ohoooo.........[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mh asee watu balaa mnajua kufukua
Mmmh! Kwa ufukunyuzi huu kesho yangu yaweza haribiwa na picha za sasa.Piga picha Mkuu, tunza kumbukumbu zako kwa bidii..... Na usiogope kesho yako aiseeee......
Kwani wewe ni mkamilifu sana...[emoji45] [emoji45]Mmmh! Kwa ufukunyuzi huu kesho yangu yaweza haribiwa na picha za sasa.