Watu, siasa safi na uongozi bora. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watu, siasa safi na uongozi bora.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jacobus, Oct 19, 2011.

 1. Jacobus

  Jacobus JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2011
  Joined: Mar 29, 2011
  Messages: 3,577
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  Tulifundishwa na viongozi wetu kuwa ili kupata maendeleo tunahitaji vitu vitatu navo ni 1-watu, 2-siasa safi na 3-uongozi bora. Bahati njema palipo kuwa na uongozi bora tuliona maendeleo. Leo watawala wetu wanatueleza bila wawekezaji (nadhani wa nje) hakuna maendeleo sasa wananchi wenzangu tujiulize hao wawekezaji wanatoka dunia gani? Maana kama dunia hii tujiulize nchi zao zilifanya nini mpaka watawala wetu wawategemee wao? Je kodi yetu inatumika vipi ikiwa hata huduma za jamii ni wawekezaji? Jamani tuwe na mjadala hapa vinginevo tunaumia.
   
Loading...