watu na taaluma zao

watu na taaluma zao

unruly gang

Member
Joined
Nov 17, 2017
Posts
45
Reaction score
32
4ca049e1f2befce458822f09a1bcf25a.jpg
 
Yeah, taaluma ziheshimiwe...
Ni kweli Mkuu kwa wenzetu madokta wao wapo makini hawa wa kibongo 70% ni makanjanja si unakumbuka operation kichwa kafanyiwa wa goti goti kafanyiwa kichwa sasa ukiwapa watoto hawa hawakawii kung'oa vichwa na kuvihamishia miguuni.
 
mkuu 70% umeenda mbali zaidi bana pinguzapunguza hadi 35% labda
 
Ni kweli Mkuu kwa wenzetu madokta wao wapo makini hawa wa kibongo 70% ni makanjanja si unakumbuka operation kichwa kafanyiwa wa goti goti kafanyiwa kichwa sasa ukiwapa watoto hawa hawakawii kung'oa vichwa na kuvihamishia miguuni.
Nikweli, na mchawi wetu mkubwa kwetu Afrika,,,,ni kwamba tafsiri yetu ya "maendeleo" kuwa ktk umiliki wa vitu tu, magari, nyumba na fedha. Utaalamu wetu unafishwa na dhana hiyo tu. Wote tunashea tafsiri moja tu, daktari, mhasibu, injinia na wengine wote tunashea hilo tu.

Tukiibadili na kuweka dhana mpya, ya kwamba maendeleo yapo ktk kufikia "ufanisi" wa majukumu yetu, tutafika tu huko. Ndo maana watu wanazikacha field zao na kukimbilia siasa kwakuwa ndiko fedha, mahekalu na magari ya kifahari yanakopatikana kiurahisi.
 
Ni kweli Mkuu kwa wenzetu madokta wao wapo makini hawa wa kibongo 70% ni makanjanja si unakumbuka operation kichwa kafanyiwa wa goti goti kafanyiwa kichwa sasa ukiwapa watoto hawa hawakawii kung'oa vichwa na kuvihamishia miguuni.
😀 😀 😀 😀 😀...
 
Aise madokita wa bongo pasua kichwa sana
 
Ni kweli Mkuu kwa wenzetu madokta wao wapo makini hawa wa kibongo 70% ni makanjanja si unakumbuka operation kichwa kafanyiwa wa goti goti kafanyiwa kichwa sasa ukiwapa watoto hawa hawakawii kung'oa vichwa na kuvihamishia miguuni.

hahahaha nahisi mazingira ya madokta wa kibongo ndo yanawaharibu
 
Ni kweli Mkuu kwa wenzetu madokta wao wapo makini hawa wa kibongo 70% ni makanjanja si unakumbuka operation kichwa kafanyiwa wa goti goti kafanyiwa kichwa sasa ukiwapa watoto hawa hawakawii kung'oa vichwa na kuvihamishia miguuni.
Hutojua thamani yao hadi yakufike, hiyo unayoiongelea ni Bahati mbaya au uzembe wa mtu mmoja au wawili usiwabeze wote
 
Back
Top Bottom