Najua ulivyokuwa Mkuu. Swali ni kuwa Trump alishinda au hakushinda? Je unajua criteria wanazotumia kumpata mshindi? Au unalalamika tu kwakuwa CNN na BBC wanasema hivyo? Ni sawa na mpira mshindi anapatikana kwa idadi ya magoli na sio idadi ya chenga, au idadi ya mashabiki waliohudhuria.