Watu na kazi zao

huyu mchoraji ni zao LA lile shamba LA kijani, maana ujumbe uliomo ndani ni kupinga tena bila hoja na anaonyesha kua wapinzani hawana hoja juu ya hii bajeti kitu ambacho sio kweli, mbona kiuhalisia hatujaona!? tumeoana wakipinga kwa hoja mpaka akina zitto tumewasikia, huyu mchoraji ni boya 😱
 
Kwani huko si tumeambiwa wamejaa wapumbavu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…