Watu milioni 50 wameshakufa mpaka leo hii tangu mwaka uanze

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Watu laki moja na nusu (150,000) hufa kila siku hapa duniani, watu 6300 hufa kila dakika hapa duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50.
 
Watu laki moja na nusu ( 150 00) hufa kila siku hapa Duniani, watu 6 300 hufa kila dakika hapa Duniani, na kwa mwaka hufa zaidi ya watu milioni 50,
Kwahyo kila mwaka kuna kanchi kanapotea maana hiyo idadi ni wastani wa population ya nchi kabisa
 
Back
Top Bottom