Watu maarufu na team

Tysher

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2013
Posts
207
Reaction score
78
Habari wanaJf!
Mwenzenu nashangazwa na hizi team zilizoanzishwa kwenye mitandao ya kijamii. Wanaounda hizi team ni watu maarufu wenyewe au mashabiki? Nyingine full matusi,nyingine wanasifia tuu hata ujinga wanasifia na kujipendekeza,nyingine wana kazi ya kutukana watu maarufu....basi tafrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…