Watu kwa mamia washuka majiani Arusha

Mungai Msele

Senior Member
Dec 19, 2013
105
0
Watu kwa mamia wameshuka majiani hii leo, huku wengine wakiwa na mizigo na watoto lakini kwa wakaazi wa Arusha, hawashangai kwani maeneo haya yaafahamika kwa kuwa na wasafiri wengi wanaokwenda kuadhimisha Sikukuu za Krismas na Mwaka mpya Mkoani Kilimanjaro, Magari ya usafiri yamekua bidhaa adhimu wakati huu,Sababu wasafiri ni wengi kupita kiasi ya magari, Taarifa za vyombo vya Usalama zimetoaonyo kali, Kwa wanaopandisha nauli wakati huu, Wakati hayo yakitokea Arusha, Mkoani kilimanjaro kumekua ndiko halaiki hii ya watu huishia, Mkoa wa kilimanjaro pamoja na kua ni mji adhim ktk historia ya Tanzania, Umekua na historia ya kutoa Viongozi Mahiri miongoni mwa Jamii.
 

Vinci

JF-Expert Member
Jul 6, 2009
2,642
2,000
Hujaeleweka kabisa mtu wangu...hebu tuliza akili halafu utuambie unataka kutuambia nini...soma bandiko lako vizuri uone kama umeeleweka
 

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,915
2,000
hii ndiyo jadi yetu mkuu wala siyo kitu cha ajabu!!


Nawatakia safari njema wasafiri wote!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom