Pastor Silla
Senior Member
- Sep 22, 2020
- 162
- 166
Kwa hiyo Mungu anataka umpende kwanza ndio akubariki, usipompenda hakuna baraka, sio?
Maana yake baraka za mungu ni something for something, hakuna cha bure, ndio maana yake, sio?
Kwamba hapa Duniani kuna watu wameitwa kwa jina lake mungu, wengine hawakuitwa, hao ambao hawakuitwa ni kwa sababu gani?
Ni kwa nini mungu asubiri hadi watu wapate shida ndio wamkimbilie, kwa nini asizuie hizo shida kwanza, ama hawezi au hajui shida zinawatembelea satu wake wakati gani?

Ni roho ya Shetani kuwa namna hiyo.Ni hulka ya kiasili mno tunapokuwa njema kumsahau Mungu
Hakuna haki pasipo wajibu mpendwa ili upate haki lazima uwajibike like wise Mungu anachotaka kwetu ni easy only umpende Basi.Kwa hiyo Mungu anataka umpende kwanza ndio akubariki, usipompenda hakuna baraka, sio?
Maana yake baraka za mungu ni something for something, hakuna cha bure, ndio maana yake, sio?
Kwamba hapa Duniani kuna watu wameitwa kwa jina lake mungu, wengine hawakuitwa, hao ambao hawakuitwa ni kwa sababu gani?
Ni kwa nini mungu asubiri hadi watu wapate shida ndio wamkimbilie, kwa nini asizuie hizo shida kwanza, ama hawezi au hajui shida zinawatembelea satu wake wakati gani?
Mungu anachelewA kuhukumu ulimwengu anataka watu wote wakimbilie toba .Kamata fursa toka kwa Shetani tupo mwishoni ndugu.Hata hivyo huwa hatuachi.Mungu ni mwema wakati wote.
Dadavua mshana...Brother kitu ambacho hujawahi kukila kabisa ukisimuliwa na aliyewahi kukila ladha yake ilivyo utamuelewa kweli?
Lakini si utaratibu wa Mungu...Ni vyema kumtafuta Mungu nyakati zote kwenye shida na raha.Ni hulka ya kiasili mno tunapokuwa njema kumsahau Mungu
Ukisoma Mwanzo 4 Mungu alimwambia Kaini je ukitenda vyema hutapata kibari.Means kwa Mungu fanya vyema utabaeikiwa pia angalia Kumb 28 zipo Baraka na laana pale ,Baraka kwa wale watakao fanya vizuri na laana watakao tenda vibaya.Kwa hiyo Mungu anataka umpende kwanza ndio akubariki, usipompenda hakuna baraka, sio?
Maana yake baraka za mungu ni something for something, hakuna cha bure, ndio maana yake, sio?
Kwamba hapa Duniani kuna watu wameitwa kwa jina lake mungu, wengine hawakuitwa, hao ambao hawakuitwa ni kwa sababu gani?
Ni kwa nini mungu asubiri hadi watu wapate shida ndio wamkimbilie, kwa nini asizuie hizo shida kwanza, ama hawezi au hajui shida zinawatembelea satu wake wakati gani?
Before Mungu aliumba kila kitu chema na akampa utashi mwanadamu lakini mwanadamu aliposhindwa kumtii Mungu na kukengeuka dhambi ikaingia duniani na dhambi ikapelekea uovu na matatizo kujaa juj ya uso was Dunia.But Mungu ameahidi mbinguni mpya na nchi mpya isiyo na.mawaa ikiwemo magonjwa na shida zote.Kwa hiyo Mungu anataka umpende kwanza ndio akubariki, usipompenda hakuna baraka, sio?