Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,599
- 1,798
Watu kadhaa wamefukiwa machimbo ya kokoto na molem huko eneo la Terati, walizuiwa na mkuu wa mkoa lakini chadema waliwatia moyo wasitii amri hiyo.

watu kadhaa wamefukiwa machimbo ya kokoto na molem huko eneo la terati, walizuiwa na mkuu wa mkoa lakini chadema waliwatia moyo wasitii amri hiyo.
Mkuu wa mkoa+Chadema,hazizuii kuifo cha mtu.Unatakiwa uchanganye na zako huku ukimshirikisha Mungu.
Asitafutwe wa kulaumiwa,Kifo kikifika hakuna wa kuzuia.Poleni wafiwa
Watu kadhaa wamefukiwa machimbo ya kokoto na molem huko eneo la Terati, walizuiwa na mkuu wa mkoa lakini chadema waliwatia moyo wasitii amri hiyo.
Usiwe kama unavaa c.hu.pi ya kike. ungesemaa ccm walikataza CHADEMA wakaruhusu. au Magesa alikataza Lema akaruhusu. Hata hivyo watu wa Arusha hawatumii utashi wao wenyewe mpaka wapate maelekezo ya ccm au CHADEMA ? hao watu walikua watoto wadogo ?
kwani nchi ya arusha, chadema nao ni serikali ???
Hebu funguka vizuri sema ki2 na ufunguke tukuelewe unataka kusema nini!
Eti Chadema iwaambia wachimbe?
Na hisi wewe ndo ume vaa pichu ya kike tena aliye kwenye siku zake.
Umesoma vizuri nilichoandika?au unaharaka na maisha.
MUNGU asilaumiwe au kutajwa ovyo. kwa mfano mtu anampigia kura mbunge wa ccm. akilala bungeni mnasema MUNGU TUNUSURU. unaingia kwenye machimbo ambayo serkali sikivu ya ccm haijayafanyia tathmini. ukifa utailaumu CHADEMA
Na hisi wewe ndo ume vaa pichu ya kike tena aliye kwenye siku zake.
Umesoma vizuri nilichoandika?au unaharaka na maisha.
Poleni wandugu, si jambo la kufurahia hata siku. Tufikie wakati tuwe tunakubaliana na wataalamu kuhusu haya mambo ya uchimbaji usiojali usalama. Hata katika hali ya kawaida ukipata nafasi kutembelea machimbo mbalimbali usalama hauangaliwi na kwa akili ya kawaida huwezi kukubali hata kusogea. Mungu awanusuru hao wengine katika juhudi za kuwaokoa.