dah! too sad kama ni kweli, Mungu awaweke pema walopoteza maisha pia pole kwa wafiwa.:shock::shock: mh. kamaka pease naomba ubadilishe hiyo avatar yako jamani inatisha ati!:sorry:
yah ni kweli hiyo ajali imetokea maeneo kabla kidogo ya kufika Ushirombo, ajali ilikuwa ni ya basi (NAJMUNISA** NOT MUCH SURE) LILILOKUWA LINATOKEA BUKOBA NA LIMEGONGANA USO KWA USO NA FUSO LILILOKUWA LINATOKEA USHIROMBO/KAHAMA
KWA HABARI ZISIZO NA UHAKIKA SANA NI KUWA WATU ZAIDI YA 25 WAMEKUFA
KWA WANAOFAHAMU HIYO NJIA AJALI IMETOKEA KARIBU NA ROAD BLOCK JUST BAADA YA KUMALIZA PORI LINALOANZIA MSONGA NA NI KILOMITA CHACHE TU KUTOKA USHIROMBO