Watu hufanana sura aisee...

Tuko

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
11,180
Reaction score
7,356
Huwa kila nikiangalia video za album za mwanzo za Bahati Bukuku namfananisha sana na Rihanna...



 
hata kidogo hakuna kufanana hapo labda kama una lako jambo
 
Midomo minene ya kibantu ya Bahati Bukuku inaondoa kabisa ufananisho!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…