Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,108
- 37,644
Watu hawana huruma: Nipo GOLDEN FORK - SINZA muda huu! Meza ya jirani Jamaa anamuingiza King mdada wa watu NETWORK MARKETING!
Wamekaa meza jirani yng. Naskia kila kitu. Mwenye dadake au mtu wake kabana nywele, miniskirt black na blouse shirt white, mtu wako soon analizwa!
Dada wa watu anasita sita!
Jamaa kamkazia!
Jamaa anamshawishi dada wa watu kuwa atakuwa anapata bonus ya 230k kila aliowaingiza watakapofanya business!
Anamtajia magari makali.
Nimeskia vogue. Nimeskia Range. Pia kamtajia safari ya Zanzibar na Sputh Africa.
Kamwambia vingine hawezi kumuambia kwa sasa!