Watu hawana huruma: Nipo Golden Fork - Sinza muda huu! Meza ya jirani Jamaa anamuingiza King mdada wa watu network marketing

Slim5

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
25,520
2,000
Watu hawana huruma: Nipo GOLDEN FORK - SINZA muda huu! Meza ya jirani Jamaa anamuingiza King mdada wa watu NETWORK MARKETING!

Wamekaa meza jirani yng. Naskia kila kitu. Mwenye dadake au mtu wake kabana nywele, miniskirt black na blouse shirt white, mtu wako soon analizwa!

Dada wa watu anasita sita!
Jamaa kamkazia!

Jamaa anamshawishi dada wa watu kuwa atakuwa anapata bonus ya 230k kila aliowaingiza watakapofanya business!

Anamtajia magari makali.

Nimeskia vogue. Nimeskia Range. Pia kamtajia safari ya Zanzibar na Sputh Africa.

Kamwambia vingine hawezi kumuambia kwa sasa!
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
29,253

Sent using Jamii Forums mobile app
Vitu vingine ni kutumia akili tu, kama ni TOO GOOD TO BE TRUE, unapotezea... kama kakubali basi hamna namna, apigwe tu!
 
Lucas Mobutu

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
14,080
2,000
Watu hawana huruma: Nipo GOLDEN FORK - SINZA muda huu! Meza ya jirani Jamaa anamuingiza King mdada wa watu NETWORK MARKETING!

Wamekaa meza jirani yng. Naskia kila kitu. Mwenye dadake au mtu wake kabana nywele, miniskirt black na blouse shirt white, mtu wako soon analizwa!

Dada wa watu anasita sita!
Jamaa kamkazia!

Jamaa anamshawishi dada wa watu kuwa atakuwa anapata bonus ya 230k kila aliowaingiza watakapofanya business!

Anamtajia magari makali.
Nimeskia vogue. Nimeskia Range. Pia kamtajia safari ya Zanzibar na Sputh Africa.

Kamwambia vingine hawezi kumuambia kwa sasa!

Sent using Jamii Forums mobile app
kwa hali ilivo siku hizi ukute jamaa ni boyfriend wake au mumewe,maza angu mdogo alitapeliwa millions na mumewe
 
Manjagata

JF-Expert Member
Mar 7, 2012
6,160
2,000
Watu hawana huruma: Nipo GOLDEN FORK - SINZA muda huu! Meza ya jirani Jamaa anamuingiza King mdada wa watu NETWORK MARKETING!

Wamekaa meza jirani yng. Naskia kila kitu. Mwenye dadake au mtu wake kabana nywele, miniskirt black na blouse shirt white, mtu wako soon analizwa!

Dada wa watu anasita sita!
Jamaa kamkazia!

Jamaa anamshawishi dada wa watu kuwa atakuwa anapata bonus ya 230k kila aliowaingiza watakapofanya business!

Anamtajia magari makali.

Nimeskia vogue. Nimeskia Range. Pia kamtajia safari ya Zanzibar na Sputh Africa.

Kamwambia vingine hawezi kumuambia kwa sasa!
Wacha upimbi dogo, ulitaka nikuingize king wewe? Yaani ndiyo wewe uliyepo hapa jirani ndio umetuma hii? Nakuonya kwa mara ya mwisho, nikinyanyuka hapa nitakachokufanya utasimulia!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom